Oct 26
Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) imetangaza matokeo ya urais katika majimbo matatu, jimbo la Kunduchi, Lulindi na Paje.
KUNDUCHI- Lowassa - 1,769 (17.09%)
Magufuli - 8,406 (81%)
LULINDI - Lowassa - 11,543 (26.03%)
Magufuli - 31,603 (71%)
PAJE - Lowassa - 1,899 (23%)
Magufuli - 6,035 ( 75%)